Real Estate Background
Real Estate Experts • Dar es Salaam

Byteq PlotsCompany Ltd

Umiliki wa ardhi ni msingi wa utajiri. Tunakuwezesha kupata viwanja vilivyopimwa, vyenye hati, na salama kwa malipo ya awamu.

Inapakia...
Featured Projects

Discover Our PremiumReal Estate Portfolio

Chagua mradi unaokuvutia kutoka kwa orodha yetu ya viwanja vya premium, kisha weka miadi ya kwenda kukiona kiwanja site bure kabisa.

Viwanja

Inapakia viwanja...

Wataalamu Wetu

Timu ya Byteq Plots

Inapakia wataalamu...
Our Advantage

Kwa nini UtuchagueSisi?

Tunajivunia kutoa huduma bora zinazokupa amani ya moyo katika kila hatua ya umiliki wa ardhi.

Viwanja Vilivyopimwa

Kila kiwanja kina ramani rasmi na vipimo sahihi kutoka idara ya ardhi.

Hati Miliki Salama

Tunahakikisha kila mteja anapata hati miliki inayotambulika kisheria.

Malipo Rahisi

Tunatoa nafasi ya kulipa kwa awamu bila usumbufu wowote.

Huduma ya Haraka

Mchakato mzima wa umiliki unafanyika kwa ufanisi na haraka.